Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za miaka 10 ya chuo cha JKT mapinga
Mkuu wa
Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa anakata utepe
kuashiria uzinduzi rasimi wa uwanja uliopewa jina la Jenerali Davisi
Mwamunyange ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride
kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga na kushoto ni Mkuu wa
chuo cha JKT Mapinga Meja Aristides Rutta sherehe hizo ziliambatana na
kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha JKT Mapinga kilichopo
jijini Dar es salaam
Mkuu wa
majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi Mwamunyange akikagua gwaride h lililo
andaliwa wakati wa sherehe za kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa chuo cha
jkt Mapinga kilichopo jijini Dar es salaam
Mkuu wa
majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi Mwamunyange akiwa anangalia bwawa
lakufugia samaki ambalo limejengwa na chuo cha jkt mapinga jenerali
Mwamunyange alikuwa mgeni rasimi katika kuadhimisha miaka kumi ya
kuanzishwa kwa chuo cha jkt mapinga
Jengo la utawala la chuo cha JKT Mapinga kilichopo jijini Dar es salaam
Mkuu wa
Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiongea wakati wa
uzinduzi rasimi wa uwanja uliopewa jina la Jenerali Davis Mwamunyange
ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride.
Picha na Chris Mfinanga
Comments
Post a Comment