BAADA YA BET DIAMOND ACHAGULIWA TENA AFRIMMA, YUPO KATIKA NOMINATION 5


Baada ya seke seke la  BET sasa Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwa nominated katika tuzo za  zaAfrimma‬ awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS), barani Africa, zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july, na time hii pia amefanikiwa kuwa nominated tena katika category 5.
  • Best male east afrika
  • Song of the year(number1).
  • Video of the year (number 1)
  • Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
  • And Best afrikan artist of the year
Sasa kazi kwetu watanzania kumpa support Diamond kwa kuvote kupitia link hiihttp://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ Kisha vote kwenye kila category aliyopo.
NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE PAGE YETU KUENDELEA KUPATA HABARI ZAIDI.

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA