PICHA: BI HARUSI AAMUA KUMBURUZA SAKAFUNI MWANAYE WA MWEZI 1 JUU YA SHELA WAKATI WA KUINGIA KANISANI

 Mwanamke mmoja wa Tennessee, Marekani hivi karibuni aliamua kufanya kitendo ambacho huenda kwake aliamini kuwa ni ubunifu utakao wa ‘wow’ wageni waliohudhuria kanisani kushuhudia ndoa yake na mume wake ikifungwa.
Mwanamke huyo aitwaye Shona Carter-Brooks aliingia kanisani na mwanaye mwenye umri wa mwezi mmoja, lakini sio kwa kumpakata mikononi kama ilivyotarajiwa na wengi, bali alimuweka kwenye mkia wa shela yake na kumburuta katika sakafu ya kanisa wakati yeye na mume wake walipokuwa wakiingia kanisani kuelekea kwenye ‘altar’.

Comments

Popular posts from this blog