LIVE KUTOKA KENYA MDA HUU:::TAZAMAPICHA 5 ZA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON NDIO UNATOLEWA MOCHWARI KUPELEKWA SIAYA KWA MAZISHI



Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza la Marehem George Tyson wakati wanautoa mwili wa marehemu kutoka chumba cha kuhifadhia maiti leo asubuhi tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kwaajili ya mazishi.

 Mwiliwa Marehemu George Tyson ukipelekwa kwenye gari kwenda Siaya kwa mazishi



 Waombolezaji wakati wakijianda kuelekea Siaya, eneo ambalo atazikwa marehemu George Tyson
 Mmoja wa Ndugu wa marehemu

Comments

Popular posts from this blog