KILI TOUR YAFUNIKA MKOANI IRINGA PICHA HIZI HAPA
Snura akiwa kwenye stage ya kili tour.
Snura akiwa kwenye jukwa la kili tour mkoani iringa.
Izo biziness akiwa na rich mavoko wakiwa kwenye back steji
Msanii wa kike mwasiti akiwa kwenye jukwaa la kili tour mkoani iringa
Mtangazaji wa EATV.Dickson msami akiwa namuhoji rich mavoko.
Prof: jay akisubiri kupanda kwenye stage
Prof:jay akiwa kwenye stage ya kili tour
Mashabiki wa mkoa wa iringa akionesha tisht iliyo kuwa ikimkumbuka ngweir
Mwana fa akiwa na G nako, kwenye jukwaa la kili tour iringa.
Comments
Post a Comment