DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY
Diamond
Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia
wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake
waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga
nae picha.
Diamond
Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na
mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
Mashabiki
wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua
ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
Shabiki
akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni
DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa
nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June
29, 2014.
Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka
Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.
Mashabiki
kutoka jirani zetu Kenya nao wakipata picha na Prezidaa Diamond
Plutnumz walipofika kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
Madancer wa Diamond wakiwa na Prezdaa ndani ya mgahawa wa Safari Washington, DC.
Mtasha
wa Kimarekani aliyewahi tembelea Tanzania nae hakuwa nyuma kupata picha
na Diamond ndani ya mgahawa wa Safari ulipo Washington, DC
Shabiki akiwa na furaha kupata ukodak na Rais wa Wasafi Diamond Plutnumz
Diamond akiwa na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Shabiki wa Diamond hakuwa nyuma katika kupata ukodak wa kumbukumbu.
Shabiki wa Diamond akipata picha ya pamoja na Prezedaa wa Wasafi.
Shabiki kutoka kwa jirani zetu nae akipata picha huku akijaribu kupata picha kwenye simu yake.
Dj Romy Jons akipata picha ya pamoja na mashabiki kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
Shabiki katika picha ya pamoja na Diamond.
Shabiki na Diamond katika picha ya pamoja.
Shabiki akipozi kwa picha na Diamond.
Shabiki akipozi kwa ukodak moment na Diamond.
Shabiki wa Diamond akipata picha na rais huyo wa Wasafi.
Shabiki akipata picha na Dj wa Diamond, Dj Romy Jons
Shabiki akipata picha na Wasafi.
Mashabiki katika picha ya pamoja na poromota wa Diamond, DMK.
Picha na Vijimambo Blog
Comments
Post a Comment