AVEVA NDIYE RAIS MPYA SIMBA SC...ASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA
Amin Bakhresa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC.
Evance
Aveva akishukuru baada ya kutangazwa kuwa Rais mpya wa klabu ya Simba
na kuchukua mikoba ya Ismail Aden Rage, aliyemaliza muda wake wa miaka
minne.Rais
mpya wa Simba, Aveva akipongeza Bakhresa kwa kazi nzuri ya kusimamia
shughuli nzima ya uchaguzi, ambao ulifanyika pasipo bugudha yoyote ile
katika Bwalo la Polisi Oysterbay jana
MIKAKATI
IMEANZA! Rais mpya wa Simba Aveva (mwenye suti, kushoto), akisalimiana
na Katibu Mkuu wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga huku Makamu Katibu Mkuu
Phillip Stanley (mwenye shati jekundu) akiwasikiliza mipango yao.
Rais Aveva, akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti uongozi uliomaliza
muda wake, Joseph Itang'are 'Mzee Kines' baada ya shughuli nzima ya
uchaguzi kumalizika kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi Oysterbay.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
Comments
Post a Comment