ANGALIA PICHA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.
Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza
Yusta
dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu.
Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa
akiufanya kwa mtoto wa watu.
Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.
Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.
Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.
Comments
Post a Comment