AMINI WA THT HATIMAYE AFUNGA NDOA NA BONGO MUVI STAR FARIDA
Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.
Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.
Pongezi nyingi kwa Amin na mkewe
Comments
Post a Comment