WAZIRI DK. MUKANGARA AWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA HABARI , VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO BUNGENI
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara
akiwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara
yake kwa mwaka 2014/2015 mjini Dodoma jana. Waziri Mukangara ameomba
Wizara yake iidhinishiwe kiasi cha Shilingi, 35,371,884,000 ambapo kati
ya hizo jumla ya shilingi 20,371,884,000 ni za matumizi ya kawaida na
kiasi kilichobaki ni fedha za miradi.
Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari wakifuatilia Hotuba hiyo.
Baadhi
ya wadau wa Habari akiwepo Mkurugenzi wa Kituo cha Redio 5 cha jijini
Arusha Francis Robert (kushoto) akifuatilia hotuba hiyo bungeni mjini
dodoma leo.
Innocent Mungy kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akifuatilia mjadala wa Bajeti bungeni mjini Dodoma.
Wadau mbalimbali wa sanaa, Michezo na Utamaduni walikuwepo.
Wasanii wakifuatilia mjadala wa bajeti Bungeni, mtaalm Dude na kule P Funks mwaandaaji wa muziki na pia msaani wa muziki.
Comments
Post a Comment