NIMEAMUA KUPAKI GARI YANGU NIPANDE DALADALA ILI NIONEKANE KWA WAVULANA NIOLEWE


I always assumed MONEY IS THE ANSWER TO ALL PROBLEMS!!!! Yaani its something i believed totally n completely! I believe it to the extent i feel like im starting to 
turn it to faith!!!!!!!! Bt today i was like WHAAAAAAAAAT!!!!!!! You gotta be kidding me!!!!!!!!!


Leo katika kupitisha Ze Weekend nikakutana na mashosti long time no seee! Ushosti nao ni full time job hapa mjini! Kama huna roho lazima unawe! Tukaona tukaonje kuku za KFC ndani ya bongo! Chezeya! Bongo kama ulaya! Kweli kuku ni tamu sema calories nazo si mchezo!

Sasa katika kurecoup nani uko wapi na nini ndo kupeana update inakuwaje no pete vidoleni?????? WHY????

Basi bwana kuna Engine ya Jiji moja (She ain't called engine ya jiji,for nothing! she is way too loaded! Loaded like really loaded!) akawa ana yuko kwenye panic! She is 25, no ring and so desperate!!!!!!!! Karudi toka Obamaaaa Land na Masters yake mkononi, chuo cha ukwee manake alishinda Full Bright Scholarship ya US Embassy! She is way too bright! Kushinda hio makitu you need to be brightest of the brightest!!!!!!

Basi ndo karudi, amepewa u manager sehemu flani, na appartment na gari!!! The only thing missing is jst 1, only 1 out of millions nice man to call hubby! Sasa the challange anayokutana nayo she doesnt know where to meet nice men! Alikuwa ana hang hang maneo ya Manhattan ya Bongo, Hyatt huko, na golden tulip sijui wapi wapi akawa anakutana na waume za watu tu, na wale vijana WANNA BEssss!!!!!!! Siku mbili wanamkopa! While all she needs a nice dude to love her as she

Comments

Popular posts from this blog