MSANII WA FILAMU NISHA NA DIRECTOR WAKE KABUTI ONYANGO WATOA NAFASI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA NAO KAZI

Salma Jabu Nisha

Hatimae wasanii wafurika ofisini kwa salma jabu nisha kutaka kufanya kazi na kampuni yake baada ya kuona ni kampuni yenye mafanikio makubwa katika hii tasnia yaani tangu kampuni yake ianze kufanya kazi za filamu imefanikiwa sana anasema yupo tayari kufanya kazi kwa makubaliano na anavifaa vya kisasa kabisa na hawezi kukuangusha ukifanya nae kazi kwenye kampuni yake ya nishas film production na sasa inakuja na ZENA NA BETINA awaambia wakae mkao wa kula yeye yupo kibiashara zaidi na si kivingine,

 
Director Na Camera Man wa Nishas Film Kabuti akiwa Location
Unaweza kuwasiliana camera man wake and director kabuti onyango kwa mawasiliano nao 0716026089 utapata production iliyo bora kwa vifaa bora kutoka kwa nisha film production.

Comments

Popular posts from this blog