SIPATI USINGIZI NIKIWA PEKE YANGU MPAKA NIWE NA MWANAUME WA KUNIKUNA!
Naona Aibu Kusema ila Inanibidi kusema Mimi Mi msichana wa Makamo tu nina tatizo moja ambalo limenianza ukubwana yaani Sipati Usingizi Usiku bila kufanya na Mwanaume yaani imefikia hadi huwa naita vijana majirani zangu nawapa uroda bure tu ili nipate usingizi, tatizo hili limenifanya nionekane malaya nahama mtaa kila siku na sijabahatika kupata boyfriend wa kudumu...
Je nifanye nini Niache hii Tabia? Naomba ushauri wako
Comments
Post a Comment