Mrembo huyu wa Kenya (Victoria) aamua Kuanika Mwili wake akichorwa Henna
Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna.
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..
Victoria na Henna za mgongoni
Henna mapajani.. upo hapo?
Wakati huo huo, Ki-Money ameendelea kufanya interview kwenye vituo mbalimbali vya radio nchini. Jana alihojiwa Clouds TV, kwenye XXL ya Clouds FM na Choice na leo alikuwa Times FM.
Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty
Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo
Comments
Post a Comment