HIZI NI TABIA 27 ZA WANAUME/­ WAVULANA WANAOJUA KUPENDA

 
1. Hupiga simu mara kwa mara

kumuulizia mpenzi wake
anaendeleaje

2. Hujihisi vibaya pale
anaposahau siku ya kuzaliwa
(birthday) au siku mliyoanza
mahusiano (anniversary) na
huomba msamaha 


3. Hushukiza na zawadi
mbalimbali hata kama sio
muda maalumu







 













4. Mara kwa mara hukuambia"NAKUPENDA">>>"I Love You"

5. Anajua kufanya mapenzi na wewe

6. Anajua jijnsi ya kujali,kukumbatia, kuchumu nakutimiza mahitaji ya kimahaba akwa mpenzi wake

7. Huhisi kuumia pale mpenzi wake anapopitia hali ngumu.         


 8. Hupenda kuona mpenzi wake ana furaha na hutamani kufurahi pamoja

9. Siku zote hutafuta muda mzuri kutumia pamoja na mpenzi wake                     


10. Kamwe hawezi kumpiga au kumuumiza kisaikolojia mpenzi wake

11. Huoa bila kusubiria sanaaaa...
           12. Husamehe na kusahau pale anapoumizwa hisia zake


13. Hatotumia siri au udhaifu wako kukufanyia mabaya

14. Hatotangaza kama mpenzi wake ana madhaifu fulani

15. Ni mvumilivu na tayari kufanyia usulihisho kwenye matatizo ya uhusiano wake

16. Anajua kwamba ni muhimu kwa mpenzi wake kutumia muda wake akiwa na marafiki zake, ndugu na
     familia yake

17. Kamwe hawezi kutoka nje ya uhusiano wenu ( will not cheat on you)

18. Hawezi kuwachokoza marafiki zako wakike mpaka point ambayo itakuwa inakuboa au kukupa mashaka

19. Hawezi kwenda nje ili mfanye mpenzi wake apate wivu

20. Humheshimu mpenzi wake pale awapo na marafiki na familia yake

21. Humsaidia mpenzi wake na kazi mbali mbali( mf. zanyubani au masomo)

22. Hufurahia kampani ya marafiki na ndugu wa mpenzi wake

23. Husaidia kufikia malengo na kutimiza ndoto za mpenzi wake

24. Kamwe hakatishi tamaa mpenz wake pale wanapokuwa wanaongea

25. Hujali sana kuhusu mawazo, hisia na ushauri wa mpenzi wake

26. Mara nyingi huwepo pale mpenzi wake anapohitaji msaada

27. HUJUA KWAMBA NJIA YAKE SIO NJIA PEKEE
.


TUPE MAONI YAKO NA MCHANGO WAKO WA MAWAZO ZAIDI, NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

Comments

Popular posts from this blog