DAYNA AWASHANGAA WASANII WANAOGOPA KUTONGOZWA...!SOMA ZAIDI HAPA...


MKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.
 “Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwazo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe

Comments

Popular posts from this blog