BEAKING NEWZ:"HATARI: VURUGU ZATOKEA ZANZIBAR, MAGARI YA SERIKALI YAPIGWA MAWE"




Kwa mujibunnwa taarifa za mitandaoni huko Zanzibar kumetokea vurugu,kupiga mawe magari ya serikali huku wafanyakazi wa serikali wakijeruhiwa .. 

Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa, katika gari hakuwemo katibu huyo mkuu bali  alikuwemo dereva wake ambaye mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri, Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi.

 Habari zaidi za matukio na picha zingine zaidi tutaendelea kuwaletea kama mwandishi wetu atakavyotujuza, endelea kujiunga nasi zaidi.

Comments

Popular posts from this blog