ALIYEJIFANYA NDUGU WA MSANII WA BONGO FLEVA NA KUTAPELI WATU AVULIWA NGUO NA KUBAKI UCHI WA MNYAMA , CHEKI PICHA HAPA


Ndugu Musa

Wakazi wa Manzese wenye Hasira Kali wamvua nguo Kijana mmoja ambaye alijitambulisha kuwa ni ndugu wa msanii Geez Mabovu, Hasira za raia zilikuja baada ya Kijana huyo kukosa kosa kumtapeli Rais Manzese Madee, Inasemekana kuwa Kabla ya kukutwa na mkasa huo Mr Tapeli alimvutia wire Madee na kujitambulisha kuwa yeye ni Ndugu wa msanii Geez Mabovu na kwa wakati huo eti alikua hoi kwa kuumwa kutokana na figo yake moja kufeli, na ilihitajika milioni 7 ili kukamilisha safari ya msanii huyo kwenda kutibiwa nje ya nchi, eti familia imejipigapiga wamepata milioni 3 tu, Mr Tapeli alimwambia Madee kuwa yeye ni mdogo wake Geez Mabovu na kwao wamezaliwa wawili tu wazazi wao walishafariki miaka mingi na sasa hivi eti Geez amelazwa katika Hospitali ya Government, Mr Tapeli hakujua kuwa tayari ameshategwa kwenye Mtego mkali wa Kisayansi, ndipo raia waliposhtukia chezo hilo ambalo Madee akiwa na Saidi Fela pamoja na Babu Tale walitaka liishe kimya kimya ndipo wananchi wenye hasira kali wakatokea na kuanza kumpiga kijana hadi kumvua nguo, skilizia You Heard ya XXL kesho utaskia sakata zima lilivyokua eneo la tukio..............pyaaaaaaaa



 
- See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/aliyejifanya-ndugu-wa-msanii-wa-bongo.html#sthash.XmaK1tZ5.dpuf

Comments

Popular posts from this blog