YOUNG KILLER AVULIWA NGUO NA WAJEDA LIVE




Young killer juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi huko jijini mwanza.
. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....



Jeshi..letu la tanzania .na wasifu..xana wako silias xana na kazi yao...jana jion..wamefanikiwa kunivua hii pensi yao..ambayo mim..niliipenda kwa dhat kuliko nguo zote nilizo nazo nyumbani..R.I.P..pensi yangu..

Comments

Popular posts from this blog