WAZIRI FENELLA AFUNGUA MSHINDANO YA DAR COMMUNITY CUP
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akimpa matibabu mchezaji wa Shule ya Sekondari Kawe Thomas Ibrahim aliyeumia wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Dar es Salaam Community Cup leoo katika viwanja vya shule ya msingi Turiani.Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Henry Lihaya akimkaribisha Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara(wa pili kushoto waliokaa0 wakati wa uzinduzi wa ligi ya Dar es Salaam Community Cup leo katika viwanja vya shule ya msingi Turiana Magomeni jijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inashirikisha timu 12 kutoka shule za Sekondari za jiji la Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na washiriki wa mashindano ya Mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la Dr es Salaam Community Cup leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua rasmi mashindano hayo, kushoto ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akipiga penati kuashiria uzinduzi rasmi wa mashindano ya Mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la Dr es Salaam Community Cup leo jijini Dar es Salaam , aliyeko gorini ni ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim.
Mchezaji wa Shule ya Sekondari Turiani akidhibiti mpira wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano hayo.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment