RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

IMG_9522Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kushoto)  mstari  wa kwanza akiwa katika maandamano ya siku ya sheria leo na  baadhi ya  majaji  kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .IMG_9524Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika  viwanja  Mahakama Tanzania  vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika leo jijini Dar es SalaamIMG_9559Rais Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na  Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kulia) leo mara baada ya  kuwasili  kwenye   maadhimisho ya   siku  ya sheria   mara baada na  baadhi ya  majaji  kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean RoadsIMG_9586Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba  leo  kwenye   maadhimisho ya   siku  ya sheria    kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean RoadsIMG_9641Jakaya Kikwete akipokelewa (katikati ) na  Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kulia) leo mara baada ya  kuwasili  kwenye   maadhimisho ya   siku  ya sheria   mara baada na  baadhi ya  majaji  kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Picha Magreth Kinabo – MAELEZO

Comments

Popular posts from this blog