MSANII APIGWA DENDA LIVE



Msanii wa maigizo na mwanamziki Bela Fasta aliyekuwa anaunda kundi la muziki wa Bongo fleva la Scopion girls lilokuwa na  memba watatu ambao ni Jack wa Chuz, Jini Kabula na Bela Fasta hivi majuzi kati aliamua kuachia picha mtandaoni akiwa analiwa DENDA na msanii aliyekuwa kundi la wanaume family Luten Karama ambaye inadaiwa wapo kwenye mapenzi mazito kupitiliza.


Bela aliamua kufanya hivyo ili kuiambia jamii kuwa sasa yeye ni mpenzi wa mtu na hiki ndicho anachofaidi katika mapenzi yake.



Tazama picha hizo hapa chini



-swahilitz

Comments

Popular posts from this blog