MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA MBALIMBALI NCHINI LEO FEBRUARI 09/ 2014 ... CCM YASHINDA KWA KISHINDO KATA 24, CHADEMA WAAMBULIA KATA 3
MATOKEO YA JUMLA NDIYO YALIVYOLIPOTIWA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VYA UDIWANI.
CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3
MATOKEO YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ARUSHA. CHADEMA KURA 2548
CCM KURA 2077
CUF 33
KATA YA KIBORILONI
CHADEMA KURA 1001
CCM 254.
CCM WANYAKUA VITI VYA UDIWANI MOROGORO
Diwani wa Kata ya Tungi Mh Deogratius Paul Mzeru
Diwani wa Kata ya Ludewa Kilosa Mh Subiri Mwamalili.
Kata ya Nduli, manispaa ya Iringa, Mgombea wa CCM Bashir Mtove ameshinda kwa kura 904 dhidi ya mpinzani wake, Ayub Mwenda (CHADEMA)aliyepata kura 499.
Kta ya Ibumu , Wilaya ya Kilolo, CCM imeshinda kwa kura 1400, dhidi ya kura 400 za Chadema.
Kata ya Ukumbi, Wilayani Kilolo CCM imeshinda kwa kura 1479 dhidi ya kura 829 za chadema.
Matokeo kata Ukumbi
CCM 1400, CHADEMA 400.
Ibumu Kilolo CCM-1293 chadema 728
Nduli-Manispaa ya Iringa Vitatu vitatu CCM 299-CHADEMA 132. CHANZO http://mwitikio.blogspot.com.
UCHAGUZI KATA YA NAMIKANGO
(NACHINGWEA.....)
Chama Kura
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517.
MATOKEO YOTE KUTOKA KATA MBALIMBALI
KUTOKA BAGAMOYO
:
KIBINDU.Matokeo ya jumla:
CCM- kura 1682(75%),CHADEMA-kura 548(25%).
MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.
KUTOKA LINDI NA MTWARA.
Nimezungumza na Mwenyekiti wa CCM Lindi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Chitanda na sasa amehamia CCM ni kwamba,
CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika hii leo.Mchanganuo Unakujia hivi Punde.
NACHINGWEA....
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517
KUTOKA IRINGA MBUNGE WA CHADEMA ANASEMA.
Peter Msigwa
Tumeshindwa kata ya nduli Iringa MJINI , polisi imetumika kwa nguvu kubwa kusaidia CCM ishinde , nimewekwa ndani kwa kosa amabalo sikutenda na Kisha kufikishwa mahakamani, Leo nilikamatwa tena nikazuiliwa masaa mtatu na vijana wangu 25 wapo polisi eti kwa kosa la kwenda kwenye eneo la kata.
KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,
CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).
KUTOKA MOSHI.
Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA
KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296
CUF---------- 935.
CDM--------29
NCCR------34
CCM imeshinda
Comments
Post a Comment