ANGALIA PICHA ZA KUTISHA MTU MMOJA AJERUHIWA NA MAMBA HADI KUFA TANGA





Inatisha sana ndugu msomaji, Amakweli mamba ni hatari. Habari kamili bado inafatiliwa hivyo endelea kufatilia hapa katika Website yako iliochangamka mjini na kijijini 

Baadhi ya wanakijiji wa Korogwe wakiushangaa mwiri wa mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kutambulika kwa haraka.


M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

Comments

Popular posts from this blog