ZANZIBZR YENYE NEEMA YAJA BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE.
Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC Bwana Ramzan Musipov Ofisini kwake vuga Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC uliofika ofisini kwake kwa mazungumzo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC Bwana Ramzan Musipov akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. (Picha na Hassan Issa wa – OMPR
Comments
Post a Comment