WAZIRI MKUU WA FINLAND ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR (SUZA) KEMPASI YA VUGA.

02Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Professa Idrss Ahmad Raia akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipotembelea chuo hicho Kempasi ya Vuga alipokuwa na ziara ya siku  Zanzibar.03Waziri mkuu wa Finland Jyrki Katainen akizungumza na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) alipotembelea chuo hicho katika ziara yake ya siku moja Zanzibar (wa kwanza kulia) ni Waziri wa Miundombinu na Mwasiliano Rashid Seif Suleiman na (kati kati) ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Professa Idriss Ahmad Rai.
04Baadhi ya wahadhiri na viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen wakati akiwahutubia katika Kempasi ya Vuga wakati wa ziara yake ya siku moja Zanzibar.05Picha ya pamoja ya Waziri Mkuu wa Finland na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar na viongozi aliofutana nao kutoka Tanzania Bara. (wa kwanza kushoto) ni Balozi wa Finland nchini Tanzania Sinikka Antila.(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).01Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano  wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akimkaribisha Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipkutana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kempasi ya Vuga alipofanya ziara ya siku moja Zanzibar.

Comments

Popular posts from this blog