TMK WANAUME WAKINUKISHA ILE MBAYA DAR LIVE


Kundi la TMK Wanaume Family likiwapagawisha mashabiki wa Dar Live kwa burudani.

MwanamuzikwaWA kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' akiwaatisha mashabiki.

Mwanamuziki YP naye akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live

Nyomi ikifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na TMK Wanaume Family.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)

Comments

Popular posts from this blog