TAZAMA YALIYOJIRI KWENYE BIRHDAY PARTY YA BABUTALE IKIWEMO NA ZAWADI ALIYOZAWADIWA NA MADEE




Usiku wa kuamkia tarehe 1,meneja wangu Babu


tale alikuwa akiadhimisha miaka kadhaa ya
kuzaliwa,mimi na team yangu tulitamani tuwepo kwenye
sherehe yake lakini bahati mbaya tulikuwa Mtwara kikazi...
tunamtakia maisha marefu zaidi,yeye na familia yake..WCB for life
Akimlisha keki Dada yangu,Esma
Mkubwa Fella akizungumza machache
Moja ya suprise kubwa aliyoipata ni pamoja na kuzawadiwa
Gari mpya na Madee,BB new model
Mda wa kukata keki
Madee akimkabidi funguo za Gari


Amin akilishwa keki






Comments

Popular posts from this blog