SUPER STAR RAY C SASA AONYESHA MJENGO WAKE LIVE!!

 


Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.

Baada ya matibabu hayo, muimbaji huyo wa ‘Niwe Nawe Milele’ amerejea kwenye afya yake ya kawaida na sasa yupo busy kurekodi nyimbo mpya na huenda mapema mwaka 2014 akarejea kwa kishindo. Pamoja na kupewa gari nzuri ya kutembelea, Ray C ameionyesha nyumba yaka anayoijenga na iliyokamilika kwa asilimia kubwa huku ikifanyiwa upambaji wa ndani tu.
Ray C ameionesha nyumba yake kwenye Instagram kwa kuandika: Love the color of ma new house!!!! Under construction #godisgood#workhardplayhard."

Comments

Popular posts from this blog