MWONEKANO WA STAA WA MOVIE ARNOLD SCHWARZENEGGER AKIWA AMETIMIZA MIAKA 66 SASA

 Huyu ni star wa Filamu ambaye kwa hakika Hakuna asiye mfahamu kabisa, katika Tasnia  hii ya sanaa ya uigizaji wa Filamu Duniani. Inawezekana hufahafu kuwa ARNOLD ana watoto wa watano ambao ni  Patrick Schwarzenegger, Katherine Schwarzenegger, Joseph Baena, Christopher Schwarzenegger, Christina Schwarzenegger na kipenzi chake MARIA. Anorld amezaliwa July 30, 1947 kwa sasa na Miaka 66.
 



Arnold Amezaliwa Austria, pia hizi ni Baadhi ya kazi anazozifanya  Muigizaji, Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Mwekezaji, na wa zamani na Bodybuilder kitaaluma. Schwarzenegger
aliwahi vipindi viwili kama Gavana wa 38 wa jimbo la  California kuanzia mwaka 2003 hadi 2011.



 Movie alizowahi kuigiza ni  Terminator: GenesisThe Expendables 3Sabotage,CaptiveUnknown SoldierPredatorThe Last Stand na Nyingine Nyingi


Kweli Miaka hairudi Nyuma! Ni Kizee cha mika 66 sasa



Hapa Arnold akiwa na kipezi chake Maria Shriver



Schwarzenegger na familia yake: Arnold na Maria na watoto (Kushoto) Christopher, Patrick, Katherine na Christina mwaka 2003



Wambele ni mtoto wa  Arnold na Mildred Baena wakiwa pamoja mitaa ya nyumbani kwao


Arnold na wanawe wawili , Patrick na Christopher



Marafiki vipenzi: Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester Stallone 



Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester The Expendables in 2010 



 Arnold Schwarzenegger(kushoto)  Sylvester stallon(katikati) na Bruce Willis(Kulia)  The Expendables in 2013. 
TUNAOMBA USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK ILIKUPATA HABARI NA MATUKIO ZAIDI

Comments

Popular posts from this blog