HUYU NDIYE NYOKA ALIYEWEKA REKODI DUNIANI NI BAADA YA KUJIMEZA MWENYEWE:
Haya ni maajabu mengine ya dunia. Hii jamii ya nyoka maarufu
kama rat snake kwa kimombo ikikosa msosi hujimeza. Mmoja wao alionekana akijaribu kujimeza mara ya kwanza, mara ya pili alivyojaribu alikufa.

Comments
Post a Comment