HUYU NDIYE MDINGI ANAYETEMBEA HEWANI, TAZAMA ALIVYOKUWA KIVUTIO KWA RAIA :

 

Pichani ni msanii Johan Lorbeer wa Ujerumani ambaye anajiita "Tarzan" kwa sababu ya kuning'inia kwenye ukuta bila ya kizuizi chochote.





Bwana Johan Lorbeer hupendelea kujitokeza kufanya usanii wake sehemu za pirika pirika za watu hasa wakati wa mchana wakati watu wakiwa mbioni na harakati za maisha.


Usanii wake mkubwa wa kuwashangaza watu ni kunasia sehemu ambazo haziwezekani na kushindana na nguvu za mvutano (Gravity Force)

Comments

Popular posts from this blog