DK.SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIKA 50 YA MAPINDUZI

TA1A6666Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili  wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A6660Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kulia) Makamo wa Pili  wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,pia akiwa mwenyekiti wa maonesho hayo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A6619 Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa  kwa  Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A6618Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe zaMapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa  kwa  Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A6583Hawa ni Watoto na Vijana wakishuhudia matukio muhimu katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A6600Baadhi ya Viongozi wakifuatilia kwa makini harakati za ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Comments

Popular posts from this blog