CHADEMA WAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO JIJINI DAR
Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama
hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said
Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika jijini Dar es
Salaam leo.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu.
Comments
Post a Comment