UPANDAJI NYASI KATIKA KIWANJA CHA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE JIJINI MBEYA WAENDELEA

HII NI HALI YA UWANJA WIKI ILIYOPITA 

WATAALAMU WA KICHINA WAKIJADILIANA JAMBO FULANI KUHUSU UWANJA HUO


MWALUKA MENEJA WA UWANJA WA SOKOINE AKIONYESHA MAJANI YATAKAYOPANDWA UWANJANI HAPO


MWALUKA MENEJA WA UWANJA WA SOKOINE AKIELEZEA JINSI ZOEZI LA UAPANDAJI NYASI UNAVYOENDELEA NA KUAHIDI KUWA ZOEZI HILO LA UPANDAJI NYASI LITAMALIZIKA BAADA YA WIKI MBILI ZIJAZO

SINGUNDALI AFISA UTAMADUNI WILAYA YA MBEYA  

HII NDIYO HALI HALISI YA UWANJA WASOKOINE KWA SASA NYASI ZINAENDELEA KUPANDWA
PICHA NA MBEYA YETU

Comments

Popular posts from this blog