RACHEL ASAKA BWANA WA KULALA NAYE KWA NGUVU

dai kwamba siku hiyo baada ya shoo yao akiwa na Kundi la Kigoma All Stars mjini Nairobi alikuwa akitafuta bwana wa kumpa kampani usiku bila mafanikio.

Rachel akijiachia na shabiki wake stejini.
Mtandao mmoja wa Kenya wa Standard Digital News uliandika kuwa, siku hiyo baada ya shoo akiwa anazungumza na mapaparazi wa huko binti huyo alisema alikuwa akitaka mtu wa ‘kujivinjari naye’ lakini akafedheheka kwa kumkosa yule wa kumpa furaha ya kimahaba.
Rachel akiwa kazini.
Ijumaa lilimtafuta Rachel kupitia simu yake ya mkononi kuzungumzia hilo na  alipopatikana alisema:
“Mimi kuongea hivyo si kitu cha ajabu kiasi cha kuifanya mitandao ya Kenya inicharukie. Kwani kuna ubaya gani kusema natafuta mtu wa kuniridhisha? Ile ni mbinu tu ya kuwateka mashabiki

Comments

Popular posts from this blog