PICHAZ..AFANDE AACHA LINDO NA KWENDA KUSAKA BODABODA...!FUATILIA ZAIDI HAPA..


Afande akiwa amemdhibiti dereva wa bodaboda.

Wasamaria wema wakijaribu kumbembeleza afande.
Afande akiwa amecharuka hataki kusikia cha mtu.
Afande kakomaa.
Afande aliyekuwa akilinda Benki ya NMB iliyopo Mtaa wa Samora karibu na Idara ya Habari 'Maelezo' jijini Dar, leo mchana aliacha lindo lake na kuanza kukamata bodaboda zilizokuwa zikivunja sheria za usalama barabarani kama anavyoonekana pichani akimdhibiti mwendesha bodaboda.

Comments

Popular posts from this blog