Picha 9 za birthday party ya Nicki Minaj…hiyo keki yake sasa.
First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherekea birthday yake
akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki.
Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi
yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo
ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu
wengine.
Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.
Comments
Post a Comment