MWANADADA AFANYIWA UKATILI WA AJABU BAADA YA KUFUMANIWA NA MUMEWE

Mwanamke mmoja apigwa vibaya na mume
wake hadi kukatwa vidole baada ya
Mumewe kugundua kuwa anamsaliti.
Tukio hilo lilitokea majira ya jioni jamaa
huyo aliporudi
kazini na kumkosa mke wake baada ya
kumpigia
simu alisema yuko kwa rafiki yake.
jamaa aliwasha gari na kufika hadi kwa
huyo
rafiki yake, alipofika alimpigia tena simu
na kumuambia nimefika mke wangu niko
hapa nje , mwanamke alisema kuwa wametoka
kidogo yeye
na huyo rafiki yake ila watarudi muda sio
mrefu,
jamaa alimuuliza mke wake mko wapi ili
niwafuate huko sasa hivi mwanamke alieleza
kwamba wako bekari wanaangalia nini cha
kununua, jamaa akamuambia mke wake
nisubiri hapo hapo nakuja usiondoke,..

alipofika eneo hilo aliloelekezwa
hakukuwa na
bakery alijaribu kuulizia hakufanikiwa
kupata bekari, alimpigia tena mke wake
simu na kumuuliza mbona maeneo haya
hakuna bakery? mwanamke akajibu
nimeshatoka huko niko
njiani sasa hivi nakaribia kwa rafiki yangu.

Jamaa alirudi tena kwa hasira na kufika
pale
kwa huyo rafiki yake. akamkuta mke
wake yuko
pale akamuomba warudi nyumbani.
Walivyofika nyumbani jamaa akamuuliza
mke wake ulikuwa
wapi? mwanamke akajibu kwa rafiki yangu,
huku akiogopa na kuonekana ana wasi wasi.

Alichukua simu yake meseji ya kwanza
aliyokutana nayo ni ya mwanaume ikisema
"nipo kwangu
mpenzi mbona hufiki" jamaa alianza
kushusha
kipigo cha mbwa mwizi hadi
kufikia kumkata mwanamke huyo
vidole na kumuumiza vibaya.


Credit:Kadili Yetu.

Comments

Popular posts from this blog