MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATUNUKU SHAHADA ZA UZAMILI WAHITIMU KATIKA TAASISI YA NELSON MANDELA ARUSHA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akiwa  kwenye maandamano ya wahitimu wa shahada ya uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akimtunuku Clarence Msafiri mhitimu wa shahada ya uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
 Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha akimkabidhi zawadi maalum Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa shahada ya Uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.(picha na madila)

Comments

Popular posts from this blog