Kuna watembeleaji 352 wapo online
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya
Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi alipokua akiwasili
uwanja wa Uhuru wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru
leo jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Generali Davis
Mwamunyange.

Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipokea salam ya Rais na kupigiwa mizinga
21 kutoka kwa gwaride la vikosi vya majeshi ya Ulinzi ya Tanzania leo
uwanja wa Uhuru mara baada ya kuwasili.

Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya majeshi ya
Ulinzi na usalama leo uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya miaka 52
ya Uhuru.
Sehemu ya
askari wa vikosi vya ulinzi na usalama wakiwa wamesimama kwa ukakamavu
wakati kabla ya kamanda wa gwaride kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kukagua gwaride hilo leo jijini
Dar es salaam.
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete akiwasili
jukwaa kuu la Uwanja wa Uhuru wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka
52 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo.
Gwaride likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa mwendo wa haraka.(P.T)
Rais
Jakaya Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi
Generali Davis Mwamunyange wakati gwaride la vikosi vya Ulinzi na
Usalama likipita mbele ya jukwaa kuu la uwanja wa Uhuru kwa mwendo wa
haraka.
Baadhi ya
Maofisa wa jeshi wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa wakati
wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo jijini Dar es salaam.
Wananchi
wa mkoa wa Dar es salaam waliojitokeza kuhudhuria maadhimisho ya miaka
52 ya Uhuru uwanja wa Uhuru leo jijini Dar es salaam.
Vijana wa
halaiki kutoka Tanzania Bara na Visiwani wakitamka kauli mbiu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo jijini Dar es
salaam ambayo ni " Vijana ni Nguzo ya Rasilimali Watu,Tuwaamini,
Tuwawezeshe na Tuwatumie kwa Manufaa ta Taifa Letu"
Vijana wa
halaiki wakiendelea kuwasilisha jumbe mbalimbali kama inavyoonekana
mfano wa mnyama aina ya samba kuashiria utalii katika hifadhi za wanyama
za Tanzania.
Vijana wa halaiki wakionyesha ukakamavu.
Ujumbe ukiwasilishwa kwa njia ya picha kuhusu viongozi wapigania Uhuru wa Tanzania Bara, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akitoa hatuba fupi kwa watanzania wakati wa
maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Hatuba yake licha ya
kujaa maneno ya kumkumbuka rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini Mzee
Nelson Rolihlahla Mandela Madiba aliyeaga dunia juzi nchini Afrika ya
Kusini imesisitiza Upendo, Amani, Mshikamano miongoni mwa watanzania na
kukemea tabia ya baadhi ya viongozi kulipiza kisasi pindi waingiapo
madarakani.
Rais wa
Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein (kushoto), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) na Mkuu wa Majeshi Generali
Davis Mwamunyange wakisoma Jarida la Nchi Yetu linalochapishwa na Idara
ya Habari (MAELEZO) leo katika uwanja wa Uhuru wakati wa Maadhimisho ya
miaka 52 ya Uhuru.
Raia wa
kigeni waliohudhuria sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara
wakisoma Jarida la Nchi Yetu linalochapishwa na Idara ya Habari
(MAELEZO) leo.
Rais
Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi Generali Davis
Mwamunyange alipokua akisoma Jarida la Nchi Yetu linalochapishwa na
Idara ya Habari (MAELEZO) leo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendelo Freeman Mbowe akiwa miongoni mwa
viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria maadhimisho ya miaka 52 ya
Uhuru.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZOTuma Maoni
Tafuta Habari
Nafasi za Kazi & Masomo
Prev
Next
Video Gallery
Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.
Maoni ya Wanakijiji
-
Simulizi Za Mzee Madiba: Siku Mandela Alipomkabili Kaunda Kwa Hoja..(9)
10.12unairusha sana plz b in series -
SAFARI YA KINANA, MAKAMBO-DAR KWA TRENI
10.12Rekebisheni hizo stesheni za magari moshi yetu ili abiria aweze kupanda kwa urahisi. Urefu wa kwenda ... -
Nelson Mandela in his last speech as ANC president, December, 1997.
10.12Hivi ukisema soma zaidi unamaanisha nini? Maana tuna click hapo uliposema halafu hakuna zaidi. Hii ... -
Neno La Leo: Mandela Ni Nuru, Mugabe Ni Giza...
09.12Hayo ya safari zako huko Zimbabwe tuliisha yasoma humu zamani na zamani. Mbona wayarudia rudia? -

09.12Acha propoppaganda, Maggid, Jongwe ni nuru ya Afrika...mpaka lini mtaona mwanga, na kumwacha Mzee ...
Zilizosomwa Zaidi
-
Simulizi Za Mzee Madiba: Siku Mandela Alipofika Nyumbani Kwa Nyerere Msasani..!
Written by Mjengwa BlogNa Maggid Mjengwa,Mandela alikuwa njiani kuelekea Addis Ababa kwenye mkutano ambao ANCC walialikwa rasmi. Ni…
-
Simulizi Za Mzee Madiba: Pale Msasani Mandela Alimshangaa Sana Nyerere..! (4)
Written by Mjengwa BlogNa Maggid Mjengwa, Ndugu zangu, Leo tuendelee na simulizi za Mzee wetu Madiba. Kwenye simulizi…
-
meza ya magazeti leo alhamisi
Written by Mjengwa Blog
BLOG SHABIHANA
Zilizothaminishwa

Comments
Post a Comment