Jinsi KIGOMA ALL STARS a.k.a Lekadutikite walivyoiteka Mombasa
Kundi la Kigoma all stars limeanza ile tour ya East Africa kutembelea
nchi kama Kenya, Rwanda na Burundi kwa ajili ya kutangaza Amani kwa
muziki wao. Wameianza tour tayari kwenye jiji la Mombasa. Hizi ni baadhi
tu ya picha za tukio lenyewe.
Comments
Post a Comment