INASIKITISHA SANA: KICHANGA CHAKUTWA KIMEKUFA IRINGA BAADA YA KUTUPWA NA MTU ASIYEJULIKANA
Na. LEWIS MBONDE BLOG,IRINGA
Tukio hili limetokea hapa mkoani Iringa asubuhi ya leo katika eneo la samora karibu na mashine ya kukamua mafuta ya alizeti kichanga kimekutwa kimekufa baada ya kutupwa.Shuhuda wa tukio hilo ni mwenye nyumba ambaye alikua anafanya usafi wa mazingira na kukuta kanga ikiwa imevilingisha huyo mtoto anae kadiliwa kua na miezi 8.Maiti hiyo ya kichanga ikaondoka na polisi.mpaka sasa muhusika hajapatikana.
Comments
Post a Comment