HUYU DEMU SIMWELEWI, ETI ANATAKA NIMPIGE PICHA AKIWA MTUPU


SISI ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia,



 lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu,



 siku nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha halafu aendelee na shughuli zake. sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa.



 Tena kibaya zaidi jana saa tatu usiku kaniita chumbani kwake eti nimpige picha na kiguo chake kama mnavyoona hapo pichani yani tabu tupu.
NIPE MAONI YAKO NDUGU MDAU WETU, NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

Comments

Popular posts from this blog