DIAMOND AWAVAMIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU, BUGURUNI
Written By Emmanuel Shilatu on Saturday, December 21, 2013 | 10:40 AM
Maisha yetu wengi ni ya mikiki mikiki ya hapa na pale
ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini
ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini
kujumuika na watoto waishio
kwenye mazingira magumu kilichopo
kwenye mazingira magumu kilichopo
Buguruni ambapo nilipata wasaa wa ..kula nao pamoja ,kucheza..kubadilishana mawazo.
.lakini pia kutumia nafasi hiyo kuwaonyesha kwa
mara ya ,kwanza kabisa,video yangu ya number 1 remix
niliyoifanya na Davido .
niliyoifanya na Davido .
.nimefanya hii kwa
sababu ,hawa ndio mashabiki wetu wakubwa.
mara nyingi show zetu tunafanya usiku..mda ambao watoto
hawaruhusiwi na ukizingatia watotot
hawa ,wanaishi katika mazingira ambayo hawawezi
kuhudhuria maonyesho yetu
hivyo leo nimeamua kwa mara ya kwanza niwaonyeshe
hivyo leo nimeamua kwa mara ya kwanza niwaonyeshe
wao kwanza,kabla sijaisambaza kwa wananchi wote...lingine
la mhimu ni kwamba..mwezi huu tarehe
25..nimeandaa onyesho maalum pale Readers
club kwa ajili ya watoto wote ambao
kawaida hawapati nafasi ya
kuhudhuria,show zetu za usiku na nimetoa
complimentary 50 kwa hawa watoto niliokuwa nao leo ...
Cha kukumbushia tu ni kuwa..zoezi hili ni
endelevu..nitaendelea kutembelea
maeneo mbali mbali kutoa sadaka kwa
watoto wenye mazingira magumu
lakini pia nitoe wito..kwa yeyote
atakaye wiwa kufanya nami zoezi hili..anakalibishwa kuungana nami..
Wasiliana nasi kupitia0715333346.
Mama na Anko wakiwa mtaani kununua zawadi
Baada ya kuwasili tukishusha zawadi mbali mbali tulizoandaa
Wadogo zangu wakiniskiliza kwa makini wakati nikizungumza nao machache
Mama mlezi wa kituo
Babu Tale alikuwepo pia
Mkubwa fella pia
Mama yangu pia alipata nafasi ya kuzungumza
Tukila pamoja,tukitaniana,kubadilishana mawazo..pia kushauriana
Nikitoa mausia kwa wadogo zangu jinsi ya
kupambana katika maisha pasipo kukata tamaa
Post a Comment