DIAMOND AAMUA KUTAMBULISHA WEMA

994992_654719497904805_1370630389_n
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.

379719_654725334570888_100223854_n

Comments

Popular posts from this blog