AMANDA AANIKA USAGAJI WA MASTAA ULIVYO
Tamrina Poshi ‘Amanda’.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Amanda alisema maudhi ambayo
baadhi ya mastaa wamekuwa wakiyapata kutoka kwa wapenzi wao waliotokea
kuwapenda ndiyo husababisha baadhi yao kuona suluhisho ni kuhamia kwenye
usagaji.“Wasanii wanajiingiza huko sababu wanaumizwa na wanaume, wanadhani usagaji ni raha, wanaona hii ni njia sahii ya kujituliza,” alidai Amanda huku akikwepa kujibu swali la kama naye yumo kwenye kundi la wasagaji ama laa.
Comments
Post a Comment