MTEMVU AFUNGUA NJIA KWA WATANZANIA NAFASI ZA AJIRA UGHAIBUNI

 Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bravo Job Centre Agency (LTD)Abbas Mtemvu, Akifafanua jambo  Mbele ya waandishi na Wanao Safirishwa na Kampuni hiyo Mwishoni Mwa Wiki Dar es Salaam.  

 Baadhi ya wahudhuriaji wa tukio hilo
 Mmoja wa Wasafiri hao Shamimu Mwarufai  Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) 
Mmoja wa Wasafiri hao Fatuma Chambo  Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) 
 Dominica Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) kwa niaba ya Tabu Khalfani
 Lita  Dominik Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) kwa niaba ya Tabu Khalfani mwishoni mwa wiki Dar es Salaam.
 Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) katika Picha ya Pamoja na wasafiri hao na ndugu na jamaa Pamoja na viongozi wa nao husika na Ofisi hiyo

Comments

Popular posts from this blog