HIVI NDIVYO MSANII WA TAARAB FUNDIKIRA ALIVYOAGWA ... WENGI WAZIMIA MSIBANI
Nyawana alifariki jana baada ya kusumbuliwa kwa muda mfupi na malaria na upungufu wa damu ambapo mwili wake umeagwa leo na kusafirishwa kwenda kuzikwa kwao Tabora ambapo ameacha mjane na watoto wawili.
( Habari/Picha: Gladness Mallya/GPL )
( Habari/Picha: Gladness Mallya/GPL )
Comments
Post a Comment