ANGALIA PICHA ZA BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA
- Get link
- X
- Other Apps

Bibi
mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka
kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai
alikuwa nao kumuacha.Bibi
huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi
amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na
kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa.
NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER KWA MATUKIO ZAIDI
- Get link
- X
- Other Apps

Comments
Post a Comment